Breaking News

Zifahamu simu za smartphone bora zaidi duniani. (BEST SMARTPHONES)

Idadi ya watu wengi duniani kwa sasa wamekuwa ni watumiaji wa simu aina ya smartphone. Hii imeleta ushindani wa soko la simu kwa makampuni yanayotengeneza simu hizo. Kutoka kwenye majarida ya PASTE na BUSSINESS INSIDER hii ni list ya simu 10 bora zaidi aina ya smartphone duniani.


1. Apple iPhone X

Simu hii inauzwa zaidi ya fedha taslimu za kitanzania Millioni 2. Hii ndo simu bora zaidi duniani kwa mwaka 2018. Inatumia operating system ya iOS inayojumusha wireless na fast charging technology.


2. Apple iPhone 8 Plus




3. Apple iPhone 8


4. Google Pixel 2 XL



5. Google Pixel 2

6. OnePlus 5T

7. Samsung Galaxy Note 8

8. Huawei Mate 10 Pro

9. Razer Phone

10. Apple iPhone 7 and iPhone 7 Plus

No comments