Breaking News

HIZI NDIO NYIMBO ZILIZOONGOZA KWA KUINGIZA PESA 2017


Kutoka mtandao wa youtube, hii ndio list ya nyimbo zilizofanya vizuri zaidi kwa mwaka 2017 na kuingiza pesa nyingi kuliko videos nyingine kwa upande wa Tanzania.
Kwa kila views 1000 kila video iliingiza kiasi cha $10.

Top 20 most viewed Tanzanian Songs on YouTube
1. Nana - Diamond Platnumz ft. Mr.Flavour - 28,850,179 views
2. Number One (Remix) - Diamond Platnumz ft. Davido -25,804,991 views
3. Salome - Diamond Platnumz ft. Ray Vanny - 16,737,118 views
4. Bado - Harmonize ft Diamond Platnumz - 14,714,516 views
5. Ntampata Wapi - Diamond Platnumz - 14,276,544 views
6. Nasema nawe - Diamond Platnumz ft Khadija Kopa -13,609,827 views
7. Marry You - Diamond Platnumz ft Neyo -12,595,251 views
8. Kidogo - Diamond Platnumz - 11,421,574 views
9. Mwana - Ali Kiba - 10,924,052 views
10. Mdogo mdogo - Diamond Platnumz -10,551,128 views
11. Zigo (Remix) - AY ft Diamond - 8,956,024 views
12. Muziki - Darassa ft Ben pol - 8,778,702 views
13. Kwetu - Ray Vanny - 7,397,940 views
14. Aiyola - Harmonize - 6,992,606 views
15. Make me sing - Diamond Platnumz ft A.K.A - 6,859,231 views
16. Matatizo - Harmonize - 6,815,192 views
17. Naghamaria - Ali Kiba ft Christian Bella - 6,582,454 views
18. Aje - Ali Kiba - 6,449,489 views
19. Chekecha - Ali Kiba - 5,639,866 views
20. Dume suruali - Mwana FA ft. Vanessa Mdee - 3,986,608 views

Data hizi ni za kabla ya: - 28.06.2017

1 comment:

  1. Best Online Casino Sites in 2021 - VieCasino.com 카지노 가입 쿠폰 카지노 가입 쿠폰 happyluke happyluke 284Official Betway App | Android & iPhone

    ReplyDelete