Breaking News

BILL GATES APITWA UTAJIRI

List mpya ya matajiri wakubwa duniani imetoka kupitia jarida la forbes huku ikimuacha tajiri alieshikilia nafasi ya kwanza kwa muda wa miaka 18 Bill Gates akirudi nyuma na kushika nafasi ya pili. Nafasi ya kwanza kwa sasa inashikiliwa na JEFF BEZOS ambae ni mmiliki wa kampuni ya AMAZON.

No comments