KCMC Hospital wamezungumza kuhusu Mbowe kulazwa
Millardayo.com
TOP STORIES KCMC Hospital wamezungumza kuhusu Mbowe kulazwa
onMarch 5, 2018 COMMENTS
Leo March 55, 2018 moja ya stori inayoshika headlines ni kuhusu kulazwa kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imezungumza na Afisa uhusiano wa hospitali ya rufaa ya KCMC Gabriel Chisseo.
Chisseo amesema Freeman Mbowe amefikishwa katika hospitali hiyo akiwa anaumwa kichwa na sababu za kitabibu zinaeleza ni kutokoana na uchovu.
Ameongeza kuwa amewekwa kwenye wodi maalumu na Madaktari wameshauri apumzike huku hali yake ikiwa inaendelea kuimarika.
“Yupo hapa kwetu Madaktari wetu wanaendelea kumhudumia kwa ukaribu zaidi na anaendelea vizuri, Madaktari wetu watafanya vipimo vingine nadhani baadae tutatoa majibu” -Gabriel Chisseo
No comments