Breaking News

KUHUSU TRA KUANZA KUKUSANYA KODI ZA NYUMBA.

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa, kuanzia mwaka wa fedha 2018/19
kodi ya majengo itakuwa inalipwa hata kwa nyumba ambazo hazijamilika lakini watu wanaishi tofauti na utaratibu wa sasa ambapo, kodi hulipwa kwa nyumba
zilizokamilika tu.

No comments