DAR: Jeshi la Polisi limelaani vikali kushambuliwa kwa Wananchi na na watu wanaodaiwa kuwa Askari wa Jeshi hilo katika eneo la Ukonga Mombasa.
- Kamanda wa Polisi, Lazaro Mambosasa amesema waliowapiga wananchi ni wahuni, hakuna Askari aliyepitia mafunzo anayeweza kufanya hayo.
No comments