Breaking News

Dar;Sababu Za Umeme Kukatika

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake waliounganishwa katika Mikoa iliyo katika Gridi ya Taifa kuwa leo majira ya Saa 12:30 imetokea hitilafu kwenye Gridi ya Taifa na kusabisha Mikoa hiyo kukosa umeme, Dar es Salaam ikiathirka kwa kiwango kikubwa zaidi.

- Jitihada zimefanyika ili kurejesha umeme na baadhi ya Mikoa imeshaanza kupata huduma ya umeme

No comments