Breaking News

LULU LEO AKIWA AMEPANDISWA KIZIMBANI

Elizabet lulu akiwa mahakama ya Kisutu Dar es salaam akisubiri kuanza kusikilizwa kwa kesi inayomkabili ya mauaji ya bila kukusudia. Lulu anakabilia na kesi ya kifo cha aliyekuwa muigizaji mwenzake wa filamu za Kibongo, Marehemu Steven Kanumba aliyefariki dunia Aprili 7, 2012 jijini Dar es salaam. Kulia ni Mama wa Muigizaji huyo.
HABARI KAMILI ITAKUJIA BAADAYE KIDO

No comments