Breaking News

Bad News:Watoto Wafariki

Jeshi la Polisi Dar limeeleza kuwa mwanafunzi wa darasa la pili Shule ya Msingi Kiluvya, amefariki baada ya kusombwa na mafuriko.
Hii imesababishwa na mvua kubwa iliyonyesha jiji hapo juzi.Dhamani ya vitu viliharibika mpaka sasa haielewekii..

No comments