#breaking;Manji Akamatwa
Hii ni baada ya kutolipa kodi kwa mda mrefu .Manji anadaiwa zaidi ya millioni 300 hii imengelewa na Mkurungenzi wa Yono shirika ambalo linasaidiana na TRA katika kukusanya kodi.Majengo ya Manji yanayopatikana Nyerere Road yamefungwa pamoja n Godown la kuifadhia bidhaa .Mkurugenzii huyo amesema kwemba endaapo hatalipa watauza majengo hayo.Kwa updates endelea kutembelea hapahapa.
No comments