Breaking News

UPDATES: Ulipofikia ujenzi wa jengo jipya la Airport Dsm

Ni updates kutoka uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar es salaam ambako kunajengwa jengo jipya na la kisasa litakalotumika na abiria zaidi ya milioni 6 kwa mwaka pia likiwa limesheheni maduka na ofisi zilizojengwa kisasa.

Naibu Waziri wa Uchukuzi ameutembelea uwanja huo na kukuta ujenzi umekamilika kwa asilimia 66 mpaka sasa na Mkandarasi hakuna anachokidai maana wameshamalizana nae kwenye malipo….

No comments