Breaking News

Breaking News:Taarifa ya BOT kuhusu kushuka kwa shilingi

Benki Kuu ya Tanzania (BoT),imesema ina hazina ya kutosha ya fedha za kigeni. BOT kupitia Idara ya Uhusiano na Itifaki imetoa taarifa kwa umma kutokana na kuwepo taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kushuka kwa thamani ya shilingi.

Soma taarifa kamili:

No comments