EU imetoa msaada wa Euro 50m (136bn) kwa ajili ya miradi ya usambazaji wa Umeme Vijijini inayotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Hii imetokea baada ya kauli mh John Pombe Magufuli katika ukuzaji wa Viwanda Tanzania. Sekta ya nishati yamuhimu sana katika kuendeleza maendeleo nchini
No comments