BREAKING:Uchumi wetu ni mzuri – Rais Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli amedai uchumi wa Tanzania ni mzuri na unakua kwa kasi ndio maana miradi mikubwa imeanzishwa na inatekelezwa katika kipindi hiki pamoja na kuaminiwa kukopa na Benki kuu ya Dunia.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Rais Magufuli amesema kuwa uchumi mzuri sio lazima mtu awe na pesa nyingi chumbani bali ni pamoja na kuwa na ugumu katika utafutaji hela.
No comments