Breaking News

News:Mpya Bodi Ya Mikopo

Bodi ya mikopo imetoa majina ya waliopata mkopo awamu ya pili idadi ya majina hayo ni 11481.Majina yao yanapatikana katika tovuti ya heslb pia yatatumwa kati vyuo.Pia muwe wavumilivu wale ambao majina hamtayaona kuna awamu ya tatu inakuja.Kwa updates endelea kutembelea katika website hii.

No comments