Breaking News

Bad NEWS:Watu 16 wamejeruhiwa baada ya gari aina ya NEWFORCE kupinduka

Mungu azidi kuwapa afya njema majeruhi waliokuwemo ndani ya gari hiyo .Pia majeruhi hao wamelazwa katika hosptari ya Rufaa morogoro.Chanzo cha Ajali ni utelezi .Kwa update endelea kutufuatilia.

No comments