Msanii Roma Mkatoliki ameeleza kuwa adhabu ya kufungiwa kwa miezi sita inamuumiza na ameomba kupunguziwa ama atozwe faini ili aendelee na muziki. Ni baada ya Naibu Waziri, Juliana Shonza kusema wasanii waliofungiwa nyimbo zao wafuate utaratibu kama wana malalamiko.
No comments