Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Augustine Phillip Mahiga jana Januari 31, amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Korea, Kang Kyung-hwa na kufanya mazungumzo yanayolenga kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na uchumi baina ya nchi hizo
Waziri wa Mambo ya nje kukutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa korea
Reviewed by Unknown
on
January 31, 2018
Rating: 5
No comments