Mpya :Mama Dogo Janja avunja ukimya, aeleza pia kwanini hakwenda kwa Uwoya na Dogo Janja
Cheche255 imempata Mama wa Msanii wa Bongofleva Dogo Janja Arusha ili atueleze ya upande wake kuhusu kinachoendelea kuhusu mastaa hawa Dogo Janjaro na Irene Uwoya.
Mama huyu ameeleza yafuatayo >>>“Taarifa za kuoa nimezipata na niliambiwa na uongozi na yeye mwenyewe Dogo Janja aliniambia kwahiyo mimi nimeshukuru mwanangu kupata jiko”
No comments