Breaking News

NEWS:MBWANA SAMATTA KUFICHWA

Mchezaji wa Tanzania Mbwana Ally Samatta azidi kufichwa leo tena japo timu ya KRC GENK kushinda goli moja.Toka msimu uanze kijana huyu aliykuwa anasifika kwa jina la sam Magoli kwa sasa makali yake yanapungua .Watu wanasema huenda kwasababu ya changamoto anazazipata.

No comments