#Habari:Idara ya uhamiaji mkoani Mtwara, imewakamata wahamiaji haramu 74 raia wa Ethiopia kwa kosa la kuingia nchini kinyume cha sheria, kati yao 67 walikutwa wamejificha kwenye miti ya Mikoko katika kisiwa cha Memberwa Msangamkuu Mtwara vijijini, huku wengine 7 wakikamatwa wilayani Tandahimba.
No comments