Breaking News

Breking News;TFF Kuweka Wazi viingilio Vya Watani Wa jadii YANGA vs SIMBA

Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) wameweka bayana kiingilio cha mchezo kati ya Simba na Yanga

TFF imetangaza  viingilio vya aina mbili ambapo watazamaji watakaohitaji kukaa katika Jukwaa Kuu watalipia Sh 20,000 na Mzunguko ni Sh 10,000.

Baada ya viingilio hivyo kuwekwa hadharan na sShirikisho la mpira nchini, mashabiki wengi wamelalamika kuhusu kiingilio kuwa kikubwa tofauti na miaka ya nyuma ambapo tiketi za Mzunguko hua ni shilingi 5000 au 7000 pekee.

Simba na Yanga watavaana Jumamosi hii Oktoba 28 katika dimba la Uhuru, mechi inayotarajiwa kufanyika majira ya saa kumi jioni

No comments